VIJANA WATAKIWA KUTOUZA UTU WAO KATIKA MASUALA YA SIASA


 
Vijana katika picha ya pamoja

Na.Stanley Msigwa-Mpanda.
VIJANA Mkoani Katavi wametakiwa kutouza utu wao kwa kutumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao na badala yake watathmini hatima ya maisha yao.

Wito huo umetolewa na baadhi ya wazee wakati wakizungumza na P5 TANZANIA wamesema nguvu kazi ya mwanasiasa ni vijana hivyo kuuza utu wao kwa mahitaji madogo wanayopewa yanaweza kugharimu maisha yao  kwa kesho.
Aidha wameaswa kuepusha chuki baina yao na kumchagua kiongozi bora atakaye fanya mambo ya maendeleo na sio kurubuniwa kwa fedha.
Mara kadhaa vijana wameshuhudiwa kuwa mstari wa mbele katika maandamano mbali mbali ya wanasiasa jambo linalohatarisha maisha yao.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA