NSIMBO YAKUBALI KUJENGA SEKONDARI URUWIRA



Na Alinanuswe  Edward
Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi imeridhia kuanza ujenzi wa shule ya sekondari ya kata katika kata ya Uruwira


Hayo yamesemwa na kaimu mkurugenzi wa halmashauuri ya Nsimbo Michael Nzyungu wakati wa mahojiano na mpnda redio kwa njia ya simu.
Nzyungu ameongeza kusema kuwa upo umuhimu wa wananchi katika kata hiyo kuanza zoezi la uchangiaji wa nguvu kazi ili kutekeleza agizo la raisi linalo zitaka halmashauri zote nchini kusimamia utekelezaji .
Kata ya uruwira ni miongoni mwa kata kongwe nchini mbapo mpaka sasa haija tekereza agizo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA