MKOA WA KATAVI WAREJESHA MIL.56 ZA WATUMISHI HEWA
Mkoa wa Katavi umefanikiwa Kurejesha fedha za watumishi hewa kwa asilimia 23.34 ambapo ni kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 56 kati ya milioni zaidi ya 240 zimelipwa kama mishahara hewa.