TRL KATAVI KUBORESHA MIUNDOMBINU USAFIRI WA TRENI
SHIRIKA
la reli mkoni katavi limeanza kuboresha miundombinu ya Reli pamoja na mabehewa ili kutoa huduma bora
ya Usafiri kwa watumiaji.
Mkuu
wa shirika hilo kituo cha Mpanda Bw.Vivin Venas amesema tayari umeanza
ukarabati wa reli kuanzia Katumba na Ugala.
Hata
hivyo Bw. Venas amebainisha kuwepo kwa ufinyu wa bajeti ya ukarabati wa
miundombinu hiyo ikilingalishwa na mahitaji yaliyopo.
Hata
hivyo abiria wa wanaotumia usafiri huo wa garimoshi wameitaka serikali kujenga banda
la kupumzikia
Kituo
cha Gari moshi Mpanda hakina jendo la mapumziko ya abiria hali inayosababisha
adha hususani kwa wanawake na watoto.
Mwandishi
: Ester Lameck
Mhariri :Issack Gerald Bathromeo
Endelea kuhabarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Comments