WANANCHI MKOANI KATAVI WAZUNGUMZIA MIAKA 56 YA UHURU WA TANGANYIKA
Baadhi ya wananchi mkoani katavi wameeleza
mafanikio katika miaka 56 ya uhuru wa Tanzania ambapo wamemeelezea kupiga hatua
kimaendeleo katika sekta mbalimbali.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema maendeleo yaliyopo
tangu uhuru ni pamoja na kimarika kwa miundo mbinu kama vile barabara na
uimarishaji wa huduma za kijamii.
Aidha wameongeza kuwa kuna maendeleo makubwa katika Nyanja za mawasiliano hali inayopelekea kukua kiuchumi tofauti na miaka ya nyuma ambapo mawasiliano ilikuwa kwa njia ya barua pekee.
Aidha wameongeza kuwa kuna maendeleo makubwa katika Nyanja za mawasiliano hali inayopelekea kukua kiuchumi tofauti na miaka ya nyuma ambapo mawasiliano ilikuwa kwa njia ya barua pekee.
Maadhimisho
ya Miaka 56 ya uhuru wa Tanzania bara yatafanyika disemba 9 mwaka huu uwanja wa
jamuhuri mjini Dodoma kauli mbiu ni uhuru wetu ni tunu,tuudumishe,
tuulinde,tukemee rushwa na uzembe.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments