SERIKALI YAKIRI KUDAIWA NA VIWANDA
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage
amekiri ni serikali ya Tanzania kudaiwa na viwanda vya ndani.
Mhe.Charles Mwijage |
Amesema wanaosababisha deni lisilipwe ni watanzania wasiolipa kodi.
Waziri Mwijage amebainisha hayo leo katika mkutano wa Bunge wa
10 kikao cha Pili kinachoendelea kufanyika mjini Dodoma.
Waziri Mwijage alikuwa akijibu swali la nyongeza katika wizara yake ambapo aliulizwa kuwa
serikali ina mkakati gani madhubuti wa kulipa madeni hayo ili kunusuru anguko
la viwanda ambavyo vimeanzishwa kwa nia njema.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments