RAIS MUSEVEN ATOA MILIONI 30 KUFANIKISHA MATIBABU YA RADIO
Rais wa Uganda Yoweri Museven ametoa shilingi Milioni 30 kwa ajili ya matibabu ya msanii Radio.
Msanii Radio ambaye amekuwa akifanya kazi na
mwenzake Weasel alipata ajali January 23 mwaka huu na hali yake
inaripotiwa kuwa mbaya.
Hapo jana taaarifa ilitolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa
Radio na Weasel ilieleza kuwa February 4 mwaka huu kutafanyika maombi
maalumu kwa ajili ya kumuombea Weasel.
Habari zaidi niP5TANZANIA LIMITED
Comments