KUIPATA PASIPOTI ILIYOZINDULIWA NA RAIS NI SH.150,000
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Dkt. Mwigulu Nchemba amesema gharama mpya ya hati ya
kusafiria (Pasipoti) ya kielektroniki iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli ni Shilingi 150,000.
Amesema
Pasipoti hizo zitakuwa na ukurasa zaidi ya mmoja na mwonekano mpya.
Hata
hivyo Rais Magufuli amesema gharama ya Shilingi 150,000 ni ya juu kidogo kuliko
bei ya sasa huku kieleza kuwa bei hiyo imezingatia ubora wa utengenezaji wa
Pasipoti hiyo.
Habari zaidi niP5TANZANIA LIMITED
Comments