MWENYEKITI WA KIJIJI MKOANI KATAVI AKATAA KUJIUZULU
Na.Issack Gerald
Mwenyekiti wa Kijiji cha Stalike
Bwana Christopher Mrisho amesema hayuko tayari kuachia ngazi kwa tuhuma za
kuwachangangisha pesa wananchi kinyume na sheria
Bw.Mrisho haoni umuhimu wa
kufanya hivyo kwani ni wananchi wenyewe ndio waliomba kuchangisha pesa hizo.
Imedaiwa kuwa Bw.Mrisho amewachangisha wananchi hao kwa awamu mbili
tofauti zaidi ya shilingi milioni moja kwa madai kuwa anaenda kuonana na waziri
mkuu wa Tanzania ili kuwasaidia kutatua mgogoro kati ya wananchi hao na mamlaka
ya hifadhi za misitu Tanzania.
Mwenyekiti huyo anadaiwa
kuwachangisa baadhi ya wananchi wa kijiji hicho ambao waliondolewa na serikali
katika makazi hayo ikidaiwa kuwa walivamia hifadhi ya msitu
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments