MAKAMU WA RAIS ATAKA WATU WENYE ULEMAVU KUTOACHWA NYUMA KATIKA MAENDELEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kutowaacha nyuma watu wenye ulemavu katika nyanja zote za maendeleo.

Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo katika mkusanyiko wa wananchi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Watu wenye ulemavu duniani ambayo yamefanyika shule ya Uzini mkoani Kusini Unguja.

Wakati huo huo amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwashughulikia kikamilifu waharifu na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ikiwemo mahakamani na kutoa adhabu kali dhidi ya wale watakaobainika wakiwanyanyasa watu wenye ulemavu.


Maadhimisho ambayo ambayo huifanyika Desemba 3 ya kila mwaka,yamefanyika kitaifa mkoani Simiyu na kushindikana kufanyika kimkoa mkoani Katavi yanabeba kaulimbiyu inayosema ’Badilika tunapoelekea jamii Jumuishi na imara kwa watu wote’’.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA