KWA MARA YA KWANZA HAPA NCHINI SIMBA ATIBIWA KWA KUFANYIWA UPASUAJI
Na Geofrey Stephen Ngoro Ngoro
Taasisi ya wanyama pori TAWRI kupitia mtaalam wake wa wanyama
pori Dkt.Ernest Mjingo amefanikiwa kuokoa maisha ya simba wenye matatizo ya
ugonjwa ngiri kwa simba huyo mtoto.
Simba |
Dkt.Ernest Mjingo amesema kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji
na kufanikiwa kwa asilimia mia moja na kwamba simba huyo ataishi bila maradhi
mara baada ya kupona na kurudi katika hali yake ya mwanzo.
Hii ni mara ya kwanza kwa simba hapa nchini kufanyiwa upasuaji
na kuimarika tofauti na wanyama wengine kupata maradhi na kufa kwa kukosa
matibabu ya kitaaluma
Msemaji wa wa ifadhi ya mamlaka ya ngoro ngoro worlter mairo
amesema wanashukuru kuona simba huyo kupata matibabu na badae kuendelea
kutangaza utalii wa ndani kwa kuongeza pato la taifa kupitia secta ya utalii
Habari zaidi ni P5TANZANIA
LIMITED
Comments