RAIS MAGUFULI ATENGUA KIGOGO SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA(NHC)
Rais
Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC), Blandina Nyoni na kuivunja bodi hiyo.
Blandina Nyoni |
Kwa
mjibu wa mkurugenzi wa mawasiliano ya rais ikulu Bw.Gerson Msigwa utenguzi huo
umefanyika kuanzia leo Machi 21,2018.
Aidha
Msigwa katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi
nyingine unatarajia kufanyika baadaye.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments