LEO OKTOBA 25,2017 NI SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI.
Siku hii ilianzishwa mwaka 2011 ili
kuwa hamasa kwa watu wenye matatizo haya kuangaliwa zaidi dhidi ya matatizo
yanayowakabili.
Fuatilia www.p5tanzania.blogspot.com na
Ukurasa P5Tanzania Limited kujua kitakachojili
mkoani Katavi kuhusu kuhusu siku hii.
Comments