WAKURUGENZI NCHINI WAPEWA AGIZO KALI KUHUSU MAFAO YA WATUMISHI

Na.Issack Gerald
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh.Suleman Jafo,amewaagiza wakurugenzi watendaji wa Halmashauri na maafisa utumishi hapa nchini, kuwasilisha michango ya watumishi katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Waziri Jafo ametoa kauli hiyo leo kupitia Clouds tv kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya watumishi hapa nchini wakiwemo walimu wakilalamika kutopata mafao yao kwa wakati wanapostaafu.

Hata hivyo siyo mara ya kwanza serikali kuagiza mafao ya watumishi yawasilishwe katika mifuko ya hifadhi ya jamii suala ambalo waziri Jafo amesema kama ulikuwa ni uzembe wa waajiri hautaendelea wala kuvumiliwa.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au ukurasa P5Tanzania Limited

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA