MBUNGE MTEULE WA CUF AFARIKI DUNIA-Septemba 2,2017
Bi Hindu Mwenda |
Taarifa kutoka kwa
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF, Abdul Kambaya imesema kuwa Bi Hindu
amefariki jana jioni baada ya kuugua kwa siku kadhaa japo hajaeleza kiundani
chanzo cha kifo chake lakini amesema taratibu nyingine zinazofuata zitaelezwa
hapo baadaye.
Marehemu
Bi Hindu ambaye amefarikia dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa
amelazwa kwa matibabu.
Marehemu alikuwa ni
miongoni mwa wabunge wapya waliotangazwa na Tume ya Uchaguzi kuchukua nafasi ya
wabunge nane ambao walivuliwa uanachama na kupoteza sifa ya kuwa wabunge na
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba
Habari zaini ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments