AKUTWA AMEFARIKI DUNIA,MAKTARI,JESHI LA POLISI LASITA KUELEZEA TUKIO WASEMA WATAELEZA BAADA YA UCHUNGUZI KUFANYIKA-sEPTEMBA 2,2017
Jamaa na majirani wa tukio hilo wamesema
kuwa marehemu amekuwa akijihusisha na shuguli za kubeba mizigo maarufu kama Kuuli.
Lakini kwa upande wake kamanda wa
jeshi la polisi mkoani Katavi ACP Damas
Nyanda amesita kuzungumzia kisa hicho kwa madai ya kutokuwa na taarifa
rasimi katika ofisi yake huku akiahidi kutoa taarifa punde tu mara baada ya
kuthibitisha.
Naye Mganga wa hospitali ya Manispaa
ya Mpanda Theopister Elisa amegoma kuzungumzia suala hilo kwa madai ya kusubiri
uchunguzi ufanyike.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments