MADIWAMI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA WAAGIZWA KUSIMAMIA USAFI WA MASOKO-Julai 25,2017
Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda Mh.Hamad Mapengo(PICHA Kwa hisani ya Mtandao |
Wito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Wilaya ya Mpanda Mh.Hamad Mapengo katika kikao cha baraza la madiwani ambacho
kimefanyika katika Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda.
Mh.Mapengo amesema masoko yasipofanyiwa usafi
yanasababisha migogoro isiyo ya lazima miongoni mwa wadu wanaotegemea masoko
hayo.
Katika hatua nyingine,Madiwani katika Halmshauri hiyo
wametakiwa kutatua migogoro ya mipaka katika maeneo yao ili wananchi waishi kwa
amani bila matatizo.
Hata hivyo kupitia kikao cha leo cha baraza la madiwani,imeagizwa
kuwa ushuru unaotolewa na wafanyabiasahara lazima utumike kusafisha masoko ili
mazingira yawe safi na kulinda afya za wanaotumia masoko hayo.
Habarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Comments