RAIS MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI
Rais
Dkt.Magufuli leo amezindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi
(Comprehensive Training Center – CTC) kilichopo Mapinga Wilayani Bagamoyo
Mkoani Pwani.
Kituo hicho kimejengwa kwa msaada kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa
China kwa gharama ya Shilingi Bilioni 67.87 na kitatumika kutoa mafunzo ya
kijeshi ya kisasa yatakayowawezesha askari kukabiliana na vitisho vya kisasa
vya kiusalama.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments