DKT.SLAA ASEMA HAKUBALIANI NA KUPIGWA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA
Aliyekuwa Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt.Wilbroad Slaa amefunguka baada ya katazo kwa vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara.
Dkt. Slaa ambaye kwa sasa ni Balozi amekiambia kituo cha
runinga cha Clouds kuwa hakubaliana na jambo hilo kwa sababu uwepo wa mikutano
hiyo ni kitu ambacho kilipitishwa na bunge.
Katika hatua nyingine Dkt. Slaa amesema yeye ni muumini wa
Demokrasia na anapenda uwepo wa vyama vingi ila muelekeo wa kisiasa nchini
kwasasa haumfurahishi.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments