MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA ZIARANI KATAVI ATOA NENO
Mwenyekiti wa Taifa balaza la wanawake la Chama cha Democrasia na Maendeleo Chadema Ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe Halima Mdee amezitaka taasisi za ndani ya chama hicho kuwajibika vyema katika kukijenga chama hicho.
Akizungumza na
wanawake wa chama hicho pamoja na vijana katika shule ya sekondari ya Mtakatifu
Maria manispaa ya Mpanda amesema
Taasisi hizo kwa kushilikiana na vijana vinamchango mkubwa katika
kukijenga chama hicho Hapa nchini
Kwa upande wake
mbunge wa viti maalumu wa chama hicho katika Mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela
amesema kunavikundi mbalimbali vya akina ambavyo vimeanza kunufaika.
Ziara hiyo ya
mwenyekiti wa Bawacha Taifa inalengo la
kukagua uhai wa jumuia hiyo na chama kwa ujumla katika mikoa ya Rukwa
Tabora na Katavi ugeni huo umeambatana na katibu mkuu wa
balaza la wanawake la chama hicho Taifa Grace Tendega.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments