WAKULIMA WILAYANI TANGANYIKA WAMEALALAMIKIA GHARAMA ZA PEMBEJEO ZA KILIMO



Na.Issack Gerald
Wakulima kata ya Mpanda ndogo wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali kupunguza gharama za pembejeo za ruzuku.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wakulima wamesema bei wananyonunua pembejeo kwa sasa ni kubwa hali inayowakwamisha kufikia malengo yao katika kilimo.
Wamesema serikali iweke utaratibu utakaowasaidia wakulima kupata pembejeo kama mbegu na mbolea ambazo watazinunua kwa bei nafuu.
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais DK John Pombe Magufuli inahimiza Tanzania ya viwanda ilikufikia, mpango huu mikakati inahitajika katika kuwainua wakulima nchi Tanzania
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA