SERIKALI IMEZIRUHUSU HALMASHAURI KUAJIRI WATUMISHI



Na.Issack Gerald
Serikali imetoa ruksa kwa Halmashauri nchini kuajiri maafisa watendaji wa kata pale inapoona kunaupungufu.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa alipokuwa akijibu maswali yaliyo ulizwa na wabunge mapema leo.
Waziri Mkuu amefafanua kuwa serikali inatambua uwepo wa upungufu wa watumishi wa kada mbali mbali hali iliyosababishwa na zoezi la uhakiki wa watumishi hewa ilikiwemo vyeti feki.
Halmashauri nyingi nchini Tanzania zimekumbwa na tatizo hilo la uhaba wa watumishi jambo linalotajwa kuwa kikwazo katika mstakabali wa maendeleo.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA