MLIPUKO WA KIPINDUPINDU MBEYAWATU 8 WAFARIKI DUNIA 628 WAPATIKANA NA UGONJWA HUO-Septemba 16,2017
DC Wilayani Mbarali Reuben Mfune |
Mkuu wa wilaya ametoa taarifa hiyo kupitia Afisa habari wa
wilaya hiyo Daudi Nyingo na kuwataka wananchi kuwa makini na matumizi ya maji
ya mito na mifereji kwa kuwa yameathiriwa na vijidudu vya kipindupindu.
Aidha Mkuu wa Wilaya ya Mbarali amesema mtu yoyote ambaye
atakiuka maagizo hayo atachukuliwa hatua kali za kisheria
Hadi kufia Septemba jana,wagonjwa mia sita na ishirini na nane wamepatikana
huku jumla ya watu nane wakifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Kipindupindu.
0764491096
Comments