|
Mh.Roda Kunchela mbunge viti maalumu Katavi |
|
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani |
NAIBU waziri wa ujenzi,Uchukuzi na mawasiliano
Mh.Edwin Ngonyani amesema kila mwananchi anayesitahili kupewa fidia kutokana na
ujenzi wa lami kutoka Mpanda kuelekea Mkoani Kigoma atapewa fidia yake kwa
mjibu wa sheria.
Mh.Ngonyani ametoa kauli hiyo wakati akijibu
swali la mbunge viti maalumu mkoani Katavi Mh.Roda Kunchela aliyetaka kujua
mpango wa serikali kuwalipa fidia wananchi walioachwa bila kulipwa licha ya
kuondolewa katika maeneo yao.
Hata hivyo Mh.Ngonyani amesema serikali
haitawalipa fidia wananchi wasiokuwa na sifa ya kupewa fidia.
Comments