Posts

MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA TUMAINI WILAYANI MPANDA WATOKOTA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda Serikali ya kijiji cha Tumaini Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mpanda mkoani Katavi,imewalalamikia watu wanaowatishia maisha kwa madai kuwa kijiji hicho kinataka kuwanyang’anya ardhi yao. Viongozi wa serikali ya kijiji cha Tumaini katika picha ya pamoja,wa tatu kutoka kushoto ni mwenyekiti wa kijiji Bw.Billu Bukwaya na wakwanza kutoka kushoto(mwenye shati nyeupe) ni  mwenyekiti wa kitongoji cha Tulieni na wengine waliobaki ni wajumbe wa kamati ya ardhi ya Kijiji cha Tumaini(PICHA NA.Issack Gerald)

WALIMU MKOANI KATAVI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UTAPELI UNAOWAANDAMA,WALIMU WASTAAFU WAPEWA MSAADA WA MABATI 120

Na.Judica Schone-Mpanda WALIMU mkoani Katavi wametakiwa kuepuka kutapeliwa na watu   wanaowalaghai pindi wanapopata mafao yao.

KIJIJI CHA MAJALILA SASA MAKAO MAKUU RASMI YA HALMASHAURI YA WILAYA MPYA YA TANGANYIKA

Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika Kijiji cha Majalila kilichopo kata ya Tongwe Halmshauri Mpya ya Tanganyika Mkoani Katavi, kimetangazwa Rasmi kuwa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

WAKUU WA IDARA ZA ARDHI MKOANI MWANZA OFISINI HAPAKALIKI,JINO KWA JINO KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Image
Na.Albert Kavano-Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw John Mongera Leo amezindua  program ya kushughulikia Migogoro ya ardhi mkoani humo na kuagiza  wakuu wa idara ya ardhi kutotoka nje ya wilaya wala kuingia ofisini siku ya jumanne badala yake wakae na kutatua migogoro hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw.John Mongera                 

WALIOANZISHA MAKAZI KIHOLELA KATIKA HIFADHI ZA MISITU MKOANI KATAVI KUONDOLEWA KWA NGUVU,WAKUU WA WILAYA WAPEWA RUNGU NA MKUU WA MKOA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali mstaafu Raphael Mugoya Muhuga akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake(Hawapo pichani)(PICHA NA.Issack Gerald) Agosti 3,2016 Waandishi wa habari Mkoani Katavi wakiwa katika kikao na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 3,2016                              Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Manispaa ya Mpanda.Safu yote ya chini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na watumishi wake ambapo Safu ya Juu ni Ofisi za Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda na watumishi wake(PCHA NA.Issack Gerald) Agosti 3,2016                                          ...

WAKAZI KIJIJI CHA ITENKA KUANZA UJENZI KITUO CHA POLISI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Wakazi wa Kijiji cha Itenka kilichopo Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mlele Mkoani Katavi,wametangaza kuanza ujenzi wa kituo cha Polisi katika kijiji hicho. Baadhi ya akina mama katika mkutano wa kijiji(PICHA NA.Issack Gerald)

MKUU WA MKOA WA KATAVI KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga leo anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari. Taarifa ya kikao hicho baina ya Mkuu wa Mkoa na waandishi wa habari,imetolewa jana na katibu wa mkuu wa Mkoa wa Katavi Bw.Philipo Charles. Mkuu wa Mkoa qwa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga