Posts

WAKAZI KIJIJI CHA ITENKA KUANZA UJENZI KITUO CHA POLISI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Wakazi wa Kijiji cha Itenka kilichopo Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mlele Mkoani Katavi,wametangaza kuanza ujenzi wa kituo cha Polisi katika kijiji hicho. Baadhi ya akina mama katika mkutano wa kijiji(PICHA NA.Issack Gerald)

MKUU WA MKOA WA KATAVI KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga leo anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari. Taarifa ya kikao hicho baina ya Mkuu wa Mkoa na waandishi wa habari,imetolewa jana na katibu wa mkuu wa Mkoa wa Katavi Bw.Philipo Charles. Mkuu wa Mkoa qwa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga                            

UKOSEFU WA MAJI,VITUO VYA AFYA,BARABARA MBOVU NA WATOTO KUTEMBEA KWENDA SHULENI UMBALI MREFU VYAENDELEA KUWATESA WANANCHI VIJIJI VYA TUMAINI NA ITENKA

Image
Vifusi vya udongo vilivyopo barabara inayotoka Kijiji cha Itenka kuelekea Kijiji cha Tumaini inayokarabatiwa(PICHA NA.Issack Gerald Kisima cha maji kilichopo Shule ya msingi Itenka kinachotegemewa pia na wananchi(PICHA NA.Issack Gerald) Maji yanayotumika kwa kunywa na shughuli nyinginekijiji cha Tumaini Wanawake kijiji cha Tumaini wakichota maji maji wakieleza kuwa ni ya kunywa(PICHA NA.Issack Gerald) Bw.Bulu Bukwaya Mwenyekiti kijiji cha Tumaini(PICHA NA.Issack Gerald) Bw.Marco Katambi mwenyekiti wa kijiji cha Itenka A(Picha na Issack Gerald) Na. Issack Gerald Bathromeo Wakazi wa vijiji vya Tumaini na Itenka A vilivyopo kata ya Itenka Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo,wameiomba serikali kuwatatulia changamoto mbalimbali zinazowakabili zikiwemo ukosefu wa maji safi na salama,ukosefu vituo vya afya pia mindombinu mibovu ya barabara iliyopo.

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO LAFANYA KIKAO CHA MWISHO KUHITIMISHA MWAKA WA FEDHA 2015/2016,MWENYEKITI WA HALMASHAURI ATOA NENO KWA MADIWANI.

Na.Judica Schone-Nsimbo Madiwani wa baraza la Madiwani Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo na viongozi wa halmsahauri hiyo waliopewa dhamana ya kukusanya mapato katika halmashauri hiyo,wametakiwa kusimamia zoezi la ukuasanyaji wa mapato ili kutumika kwa mujibu wa bajeti.

WAZIRI MASHA NA WENZAKE 9 WASHINDA KESI MAHAKAMA YA WILAYA YA MPANDA,KATIBU CHADEMA WILAYA YA MPANDA ASISITIZA KUANZISHA MASHTAKA DHIDI YA WALIOWASUMBUA.

Image
NA.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Aliyecchuchumaa chini ni Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh.Lawreance Masha(PICHA NA.Issack Gerald Katavi Mahakama ya Wilaya ya Mpanda jana imewaachia huru washtakiwa 10 akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana Mwanza Mh.Lawrence Kego Masha baada ya mahakama kutowakuta na hatia katika makosa waliyokuwa wakishtakiwa.             

LEO WAZIRI MKUU PINDA MGENI RASMI TUZO ZA WALIMU KATAVI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo        Leo Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda inatarajia kutoa tuzo za kuwapongeza walimu wa shule za msingi zilizopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi baada ya kufaulisha Wanafunzi kwa ufaulu wa asilimia 90 hadi 97 kwa mwaka 2014 na 2015 na kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa miaka miwili mfululizo kwa kufaulisha wanafunzi. Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Mh.Mizengo Kayanza Peter Pinda(PICHA NA.Issack Gerald    

WAFANYABIASHARA WAILALAMIKIA SERIKALI KUWAZUIA KUTEKELEZA HAPA KAZI TU,WANGOA MABANGO USIKU WA MANANE WAKIPINGA KUFUKUZWA ENEO LA KIBIASHARA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Wafanyabiashara wadogo waliopo genge la kufanyia biashara lililopo Mtaa na Kata ya Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia uongozi wa serikali ya Mtaa,kata ya Mpanda Hotel na Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda kwa kutowapatia eneo maalumu la kufanyia biashara huku wakifukuzwa katika kila eneo wanalokwenda kufanyia biasahara. Bango lililong'olewa na kutupwa kusikojulikana katika genge la biashara lililopo mtaa na kata ya Mpanda hotel lililopigwa marufuku(PICHA NA.Issack Gerald)                                   Wafanyabiasahara wadogo wakiwa katika genge wakiuza bidhaa zao katika genge lililopigwa marufuku(PICHA NA.Issack Gerald) Genge jipya eneo la mtaa wa  Mpanda ana Kata ya Mpanda Hotel lililopigwa marufuku(PICHA NA.Issack Gerald)              ...