Posts

MWENGE WA UHURU KUANZA MBIO ZAKE WILAYANI KIBONDO

Image
Leo Mwenge wa uhuru unaanza mbio zake Wilayani Kibondo mkoani Kigoma. Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2016 Bw.George Mbijima(PICHA NA Issack Gerald)                                 

WAWILI WAJINYONGA WILAYANI MPANDA KATIKA MATUKIO MAWILI TOFAUTI

WATU wawili Mkoani Katavi   wamefariki dunia kwa nyakati tofauti kwa kujinyonga.

MKUU WA WILAYA YA MLELE AJITAMBULISHA KWA WATUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE

MKUU wa wilaya ya mlele mkoani Katavi Bi.Recho Kasanda ametoa agizo kwa watumishi wa wilaya hiyo kufanya kazi wa kuzingatia taratibu na sheria.

BODABODA KATAVI WAOMBA ELIMU YA UDEREVA NA MTAMBO KWA KUKATA LESENI

Image
WAENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda mkoani Katavi,wameiomba serikali kuwapatia elimu ya udereva   pamoja na kupatiwa   mtambo wa kukata reseni za udereva ili kupunguza ajali za barabarani .

EKARI 1800 ZAMILIKIWA NA MWANANCHI MMOJA,WANANCHI WAHAHA MAHALI PA KULIMA WAIOMBA SERIKALI WILAYANI TANGANYIKA KUINGILIA KATI.

WANANCHI wa kijiji cha Kamilala   kata ya Katuma tarafa ya Mwese wilayani Tanganyika   mkoani Katavi,wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa shamba lililochukuliwa   na mtu moja aliyefahamika kwa jina la Kiyondo zaidi ya ekari 1800 huku wananchi wakiwa hawana maeneo ya kulima .

CHANGAMOTO LUKUKI ZAENDELEA KUKWAMISHA MAENDELEO YA WANANCHI KATA YA ITENKA.

Wakazi wa kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mlele Mkoani Katavi,wameiomba Serikali ya halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo kutatua changamoto za miundombinu ya barabara kuanzia Mpanda Mjini hadi Itenka.

CWT KATAVI KUPIGANIA HAKI ZA WALIMU WANAWAKE

CHAMA cha walimu CWT mkoani katavi kimesema kitahakikisha kinapigania maslahi ya walimu wanawake makazini kwa sababu ya mchango kubwa walionao katika jamii.