Posts

MGOGORO WA ARDHI MTAA WA NSEMULWA MANISPAA YA MPANDA WAENDELEA KUTOKOTA,WANANCHI WAMWANGUKIA MKUU WA WILAYA

Wakazi wa mtaa wa Nsemulwa Kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda,wamemwomba Mkuu wa Wilaya kumaliza tatizo la upimaji waardhi katika mtaa huo ambalo limedumu kwa kipindi kirefu bila kupatiwa ufumbuzi.

AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA MADAI YA KUUA BILA KUKUSUDIA

MTU Mmoja Mkazi wa Mji wa Zamani Katika Manispaa ya Mpanda amefikikishwa Katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mjini Mpanda kwa Kosa la Kuua bila Kukusudia.

UTEUZI MAKATIBU TAWALA WAPYA WA JPM HAWA HAPA,WA KATAVI YUPO PALEPALE

Image
UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.                                         

ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATAVI WAELEZA MIKAKATI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO

Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la zimamoto Mkoa wa Katavi limedhamilia kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na kujiahadhari na majanga ya moto.

WANNE MBARONI KATAVI KWA KUMILIKI SILAHA SMG,MWENZAO AFA KWA RISASI KATIKA MAJIBIZANO NA POLISI.

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu wanne wakazi wa kata ya Mishamo Wilayani Mpanda wakituhumiwa kumiliki silaha kinyume na sheria.

WAENDESHA PIKIPIKI(BODABODA) WILAYANI MPANDA WAIOMBA SERIKALI KUWAFUNGIA MTAMBO WA KUKATIA LESENI.

WAENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda wilaya ya Mpanda mkoani Katavi   wameiomba serikali kuwafungia mtambo wa kukatia lesini.

RAIA WAPYA KATUMBA NA MISHAMO WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHARIFU.

Raia wapya waishio makazi mapya ya Katumba na Mishamo wametakiwa kutojihusisha na vitendo vya uharifu na badala yake wametakiwa kufuata sheria za nchi.