UTEUZI MAKATIBU TAWALA WAPYA WA JPM HAWA HAPA,WA KATAVI YUPO PALEPALE
UTEUZI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25
Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya Tanzania Bara.
Taarifa
iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati
ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13
wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.
Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
- Arusha - Richard Kwitega
- Geita - Selestine Muhochi Gesimba
- Kagera - Armatus C. Msole
- Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour
- Pwani - Zuberi Mhina Samataba
- Shinyanga - Albert Gabriel Msovela
- Singida - Dr. Angelina Mageni Lutambi
- Simiyu - Jumanne Abdallah Sagini
- Tabora - Dkt. Thea Medard Ntara
- Tanga - Eng. Zena Said
Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni kama
ifuatavyo;
- Kigoma - Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)
- Morogoro - Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
Makatibu Tawala waliobakishwa katika vituo vyao vya sasa vya
kazi ni kama ifuatavyo;
- Dar es salaam - Theresia Louis Mbando
- Dodoma - Rehema Hussein Madenge
- Iringa - Wamoja Ayubu Dickolagwa
- Katavi - CP Paul Chagonja
- Lindi - Ramadhan Habibu Kaswa
- Mara - Benedict Richard Ole Kuyan
- Manyara - Eliakimu Chacha Maswi
- Mbeya- Mariam Amri Mjunguja
- Mtwara - Alfred Cosmas Luanda
- Mwanza - CP. Clodwing Mathew Mtweve
- Njombe - Jackson Lesika Saitabau
- Rukwa - Symthies Emmanuel Pangisa
- Ruvuma - Hassan Mpali Bendeyeko
Makatibu
Tawala wa Mikoa 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza, wataapishwa siku ya
Jumatano tarehe 27 Aprili, 2016 saa tatu asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam.
Comments