Posts

UTEUZI MAKATIBU TAWALA WAPYA WA JPM HAWA HAPA,WA KATAVI YUPO PALEPALE

Image
UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.                                         

ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATAVI WAELEZA MIKAKATI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO

Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la zimamoto Mkoa wa Katavi limedhamilia kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na kujiahadhari na majanga ya moto.

WANNE MBARONI KATAVI KWA KUMILIKI SILAHA SMG,MWENZAO AFA KWA RISASI KATIKA MAJIBIZANO NA POLISI.

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu wanne wakazi wa kata ya Mishamo Wilayani Mpanda wakituhumiwa kumiliki silaha kinyume na sheria.

WAENDESHA PIKIPIKI(BODABODA) WILAYANI MPANDA WAIOMBA SERIKALI KUWAFUNGIA MTAMBO WA KUKATIA LESENI.

WAENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda wilaya ya Mpanda mkoani Katavi   wameiomba serikali kuwafungia mtambo wa kukatia lesini.

RAIA WAPYA KATUMBA NA MISHAMO WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHARIFU.

Raia wapya waishio makazi mapya ya Katumba na Mishamo wametakiwa kutojihusisha na vitendo vya uharifu na badala yake wametakiwa kufuata sheria za nchi.

VIONGOZI SERIKALI ZA VIJIJI NA MITAA MANISPAA YA MPANDA KUANZA KULAMBA POSHO MWAKA WA FEDHA 2016/2017.

Mstahiki meya Manispaa ya Mpanda,Mh.Willium Philipo Mbogo ameliomba balaza la madiwani kuidhinisha mpango wa kuwapatia posho wenyeviti wa vijiji na mitaa kuanzia bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 unaotarajia kuanza mwezi Julai mwaka huu.

WITO WA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA MPANDA KWA MADIWANI KUHUSU MADAWATI NA DOMPO LA KUTUPIA TAKA

Mh.Willium Philipo Mbogo   amewasisitiza madiwani kusimamia kwa dhati mchakato wa upatikanaji wa madawati   ili   ifikapo Mwezi Juni 2016   uwe umeamilika ili kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli kwa wakati mwafaka.