Posts

VIONGOZI SERIKALI ZA VIJIJI NA MITAA MANISPAA YA MPANDA KUANZA KULAMBA POSHO MWAKA WA FEDHA 2016/2017.

Mstahiki meya Manispaa ya Mpanda,Mh.Willium Philipo Mbogo ameliomba balaza la madiwani kuidhinisha mpango wa kuwapatia posho wenyeviti wa vijiji na mitaa kuanzia bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 unaotarajia kuanza mwezi Julai mwaka huu.

WITO WA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA MPANDA KWA MADIWANI KUHUSU MADAWATI NA DOMPO LA KUTUPIA TAKA

Mh.Willium Philipo Mbogo   amewasisitiza madiwani kusimamia kwa dhati mchakato wa upatikanaji wa madawati   ili   ifikapo Mwezi Juni 2016   uwe umeamilika ili kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli kwa wakati mwafaka.

KILIO CHA WANANCHI WA MTAA WA KAMPUNI KUHUSU SHULE YA MSINGI NSAMBWE CHASIKIKA,WIKI IJAYO KUKABIDHIWA MIL.9 KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA.

Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,inatarajia kukabidhi shilingi milioni tisa kwa shule ya Msingi Nsambwe iliyopo kata ya Misunkumilo kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa madarasa mawili ya shule hiyo.

WATUMISHI HEWA MPAKA SASA MANISPAA YA MPANDA NI SIFURI PIA KUONGEZA MAGARI MAWILI KWA AJILI YA UZOAJI TAKA

Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imesema mpaka sasa haina mtumishi hewa hata mmoja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk.John Pombe Magufuli aziagize Halmshauri zote nchini kuhakiki watumishi hewa.

MKUU WA MKOA KATAVI ATANGAZA KIYAMA KWA MAJAMBAZI

Image
SERIKALI Mkoani Katavi imesema haitawavumilia watu au mtu atakayehusishwa na Uvunjaji wa amani ikiwemo kuteka magari Kama ilivyoripotiwa Kutokea hivi karibuni.                                                  

MWENYEKITI WA KIJIJI ALIA NA HUJUMA ZA DIWANI,MTENDAJI KUMZUSHIA KUSIMAMISHWA KAZI,YEYE ASEMA AMELETA MABADILIKO MAKUBWA,AJIVUNIA KUTAFUTA ENEO LA UJENZI WA SHULE.

MWENYEKITI wa kijiji cha Muungano Kata ya Ibindi amekanusha kauli iliyotolewa na Diwani Bw: Jastini Shinje   kuwa amesimamishwa na wananchi kuendelea na wadhifa wake katika kijiji hicho.

TAKUKURU YATOA TAKWIMU YA KESI NA MALALAMIKO ILIYOYAPOKEA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2016,TAMISEMI WAIBUKA KIDEDEA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Katavi imesema kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu imepokea malalamiko 22   ya vitendo vya Rushwa.