Posts

TAKUKURU YATOA TAKWIMU YA KESI NA MALALAMIKO ILIYOYAPOKEA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2016,TAMISEMI WAIBUKA KIDEDEA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Katavi imesema kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu imepokea malalamiko 22   ya vitendo vya Rushwa.                         

MGANGA MKUU HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA AKANUSHA WAGONJWA NA WAJAWAZITO KULAZIMISHWA KUPIMWA VVU BILA HIARI.

Na.Issack Gerald-Mpanda HOSPITALI YA WILAYA Mganga mkuu Hospitali ya Wilaya ya MpandaDk.Naibu Mkongwa,amekanusha taarifazilizosambaa kuwa wanawalazimisha wagonjwa kupima Virusi vya Ukimwi wanapokuwa wamefika hospitalini hapo kutibiwa.

MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO MTEGONI,APEWA SIKU SABA KUCHUNGUZA MHANDISI MWENYE DHARAU NA JEURI KWA VIONGOZJI WA SERIKALINI NA UBINAFISI WA MATUMIZI YA GARI,UHAKIKI WATUMISHI HEWA NALO LAENDELEA KUMTESA MKURUGENZI

Na.Issack Gerald-Nsimbo Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Bw.michael zyungu amepewa siku 7 kuchunguza kazi ya mhandisi aliyetajwa kwa jina mojala Mh. Mbotu anayetuhumiwa kudharau na kuonesha jeuri kwa viongozi wa ngazi za juu serikalini pamoja na ubinafsi katika kutumia mali za Halmashauri likiwemo gari la halmashauri hiyo.

SILAHA 11 KATAVI ZASALIMISHWA WAKATI WA ZOEZI LA UHAKIKI,ZAIDI YA ASILIMIA 60 HAZIJAHAKIKIWA

Na.Issack Gerald-Katavi Jumla ya silaha 11 kati ya 193 zinazomilikiwa kisheria Mkoani Katavi zimesalimishwa huku silaha 76 kati ya hizo 193 zikiwa zimehakikiwa kuanzia Machi 21 hadi Aprili mwaka huu.

WAFANYABIASHARA WAIOMBA SERIKALI KUPANGA KODI NA FAINI INAYOENDANA NA BIASHARA ZAO

Wafanyabiasha wa mazao ya chakula   Mkoani Katavi wameiomba serikali kupanga kodi na faini kulingana na biashara   zao .

RAIS MAGUFULI A ATENGUA UTEUZI WA NDERUMAKI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Bw. Gabriel Nderumaki.                                  

WAFANYABIASHARA MPANDA WAPEWA SIKU 21 KUHAMA MAENEO YASIYO RASMI KIBIASHARA

MKUU wa wilaya ya Mpanda Mh Paza Mwalima ametoa siku 21 kwa wafanyabishara wote wanaofanya shughuli za kiabiashara katika maeneo yasiyo rasimi kuondoka malamoja.