RAIS MAGUFULI A ATENGUA UTEUZI WA NDERUMAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Bw. Gabriel
Nderumaki.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Aprili, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Mhandisi John Kijazi, imeeleza kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi huo
kuanzia tarehe 18 Machi, 2016.
Bi. Tuma Abdallah ni Mhariri Mtendaji Msaidizi wa Magazeti ya Serikali
(TSN)
Comments