Posts

MKUU WA WIALAYA YA MPANDA AAGIZA ARDHI YA HEKTA 45 ILIYOUZWA NA UONGOZI WA KIJIJI KINYUME CHA SHERIA KWA MWEKEZAJI KUREJESHWA KWA WANANCHI

KATIKA kutatua Migogoro ya aridhi nchini Serikali Wilayani Mpanda imeagiza kurejeshwa kwa wananchi Mara Moja kwa eneo la hekta 45 liliuzwa kinyume cha taratibu kwa mwekezaji Katika Kijiji cha Magamba.

MAHAKAMA YA WILAYA YA MPANDA YAFUTA HATI YA MASHTAKA YA WATU WAWLI KATI YA WATATU WALIOKUWA WAKITUHUMIWA KUIBA PIKIPIKI YENYE THAMANI YA SH.MIL.1.8

MAHAKAMA ya mwanzo mjini mpanda imefuta hati ya mashta ya watu wawili kati ya watatu waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma za wizi wa pikipiki yenye thamani ya shingi milioni moja na laki nane.

KUMBUKUMBU YA MIAKA 32 KIFO CHA HAYATI EDWARD SOKOINE

Image
Edward Moringe Sokoine ( 1938 - 12 Aprili 1984 ) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania .                                                                                                                            

JERA MWAKA MMOJA WILAYANI MPANDA KWA KUENDESHA UVUVI NDANI YA HIFADHI

Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya Wilaya Mjini Mpanda imemuhukumu mtu mmoja mkazi wa   Kakese kwenda jela mwaka mmoja   kwa makosa mawili likiwemo la kujishughulisha na uvuvu ndani ya hifadhi bila kibali.

KUPATIKANA KWA SHIVYAWATA KATAVI MKOMBOZI KWA WENYE ULEMAVU

Na.Issack Gerald-Katavi Kupatikana kwa uongozi wa Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania SHIVYAWATA mkoani Katavi, kutaongeza nguvu katika kutetea haki na kutatua changamoto zinazowakabili watu wenye ulemavu Mkoani hapa.

MATUKIO MAKUU 11 YA WIKI YALIYOTOKEA NDANI NA NJE YA KATAVI APRILI 4-9,2016

Image
WAZIRI NAPE AFUTA KAREFA,AMWAGIZA KATIBU TAWALA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA VIONGOZI UPYA MPANDA-APRILI 04 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemuagiza katibu tawala wa mkoa wa Katavi Bw Paul Chagonja kufuta uongozi wa mpira wa miguu KAREFA na kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wapya baada ya kufuta uliokuwepo.

AJALI ZITOKANAZO NA VYOMBO VYA MOTO KATAVI ZAPUNGUA.

Na.Issack Gerald-Katavi KIKOSI cha usalama   barabani Mkoani katavi kimesema kimefanikiwa   kupunguza ajali za barabani kwa kutumia kifaa maalum cha kupima mwendo kasi.