Posts

JERA MWAKA MMOJA WILAYANI MPANDA KWA KUENDESHA UVUVI NDANI YA HIFADHI

Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya Wilaya Mjini Mpanda imemuhukumu mtu mmoja mkazi wa   Kakese kwenda jela mwaka mmoja   kwa makosa mawili likiwemo la kujishughulisha na uvuvu ndani ya hifadhi bila kibali.

KUPATIKANA KWA SHIVYAWATA KATAVI MKOMBOZI KWA WENYE ULEMAVU

Na.Issack Gerald-Katavi Kupatikana kwa uongozi wa Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania SHIVYAWATA mkoani Katavi, kutaongeza nguvu katika kutetea haki na kutatua changamoto zinazowakabili watu wenye ulemavu Mkoani hapa.

MATUKIO MAKUU 11 YA WIKI YALIYOTOKEA NDANI NA NJE YA KATAVI APRILI 4-9,2016

Image
WAZIRI NAPE AFUTA KAREFA,AMWAGIZA KATIBU TAWALA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA VIONGOZI UPYA MPANDA-APRILI 04 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemuagiza katibu tawala wa mkoa wa Katavi Bw Paul Chagonja kufuta uongozi wa mpira wa miguu KAREFA na kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wapya baada ya kufuta uliokuwepo.

AJALI ZITOKANAZO NA VYOMBO VYA MOTO KATAVI ZAPUNGUA.

Na.Issack Gerald-Katavi KIKOSI cha usalama   barabani Mkoani katavi kimesema kimefanikiwa   kupunguza ajali za barabani kwa kutumia kifaa maalum cha kupima mwendo kasi.

RC KATAVI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA MPANDA,ASEMA SERIKALI IMETENGA BIL.2 KUTUMIKA UJENZI HOSPITALI YA MKOA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WAGONJWA.

Na.Vumilia Abel-Katavi MKUU wa mkoa Meja Jeneral Raphael Muhuga amefanya ziara ya kuitembelea hospitali ya wilaya ya Mpanda kwa lengo la kutazama changamoto zinazoikabili hospitali hiyo.

WAZIRI NAPE AFUTA KAREFA,AMWAGIZA KATIBU TAWALA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA VIONGOZI UPYA

Na.Issack Gerald-Katavi WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemuagiza katibu tawala wa mkoa wa Katavi Bw Paul Chagonja kufuta uongozi wa mpira wa miguu KAREFA na kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wapya baada ya kufuta uliokuwepo.

MTOTO MWENYE ULEMAVU WA VIUNGO ATUNZWA NDANI YA NYUMBA MIAKA MIWILI BILA HATA YA KUPATA MAHITAJI YA MSINGI

Na.Issack Gerald-Katavi Taarifa iliyopatikana Aprili mosi mwaka huu ni yan mtoto mmoja   mwenye ulemavu wa viungo   katika manispaa ya Mpanda mkoani katavi ambaye amekuwa akifungiwa ndani kwa muda wa miaka miwili na kukosa haki zake za msingi kama elimu wakati mwingine hata chakula.