Posts

VIONGOZI STENDI KUU YA MABASI MANISPAA YA MPANDA WAMWANGUKIA MKUU MPYA WA MKOA KATAVI KUTATUA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU INAYOWAKABILI,BARABARA KUTOKA MPANDA HADI TABORA BADO PASUA KICHWA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi                                                               

HABARI KUU 6 ZA WIKI ZILIZOTOKEZA KATAVI MACHI 21-27,2016 ,P5 TANZANIA MEDIA INAKUSOGEZEA

WAKAZI WAISHIO MLIMA WA LIAMBA LYAMFIPA WATAKIWA KUHAMA KABLA NGUVU YA JESHI KUTUMIKA. Na.Issack Gerald-Mlele                                                                 Baadhi ya wakazi waliojenga nyumba na kuanza kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo katika mlima wa Liamba Lyamfipa uliopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi wametakiwa kuhama mara moja sehemu hiyo.

KAMANDA KIDAVASHARI ATOA KAULI KUHUSU WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHARIFU MSIMU WA SIKUKUU YA PASAKA

Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la Polisi Mkoani Katavi limetoa onyo kwa kikundi au mtu yeyote atakayesababisha vitendo vya furugu, fujo ama vitisho vinavyosababisha uvunjifu wa amani katika kipindi chote cha kusheherekea sikukuuu ya pasaka.

DIWANI AWAMWAGIA SIFA WANANCHI WAKE USHIRIKI WA SHGHULI ZA MAENDELEO.

Na.Alinanuswe Edward WAKAZI wakata ya makanyagio manispaa ya Mpanda wameonyesha mwamko wa ushiriki katika shughuri za maendeleo kupitia utekelezaji wa mpango wa elimu bure.

DAKTARI ANAYETUHUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MWANANCHI KATAVI KWA KUTOMHUDUMIA AJIFUNGUA MTOTO.

DAKTARI wa zahanati ya Kapalamsenga wilayani Mpanda, anayetuhumiwa na wakazi wa kijiji hicho kusababisha kifo cha   Bi.Ana Kilangi (49) kwa kugoma kumhudumia, amejifungua salama.

WIKI YA MAJI KATAVI,WANANCHI WATAKA MAADHIMISHO YATUMIKE KUWALETEA MAJI SAFI NA SALAMA.

Na.Issack Gerald-Katavi BAADHI ya Wakazi wa Manispaa ya Mpanda wameiomba Serikali kutatua changamoto ya maji inayowakabili katika maeneo yao.

RPC KATAVI ATAKA SILAHA ZISALIMISHWE

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja silaha hizo katika vituo vya Polisi vilivyopo karibu na makazi yao.