Posts

RPC KATAVI ATAKA SILAHA ZISALIMISHWE

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja silaha hizo katika vituo vya Polisi vilivyopo karibu na makazi yao.

WANANCHI WILAYANI MPANDA WALIOMBA JESHI KATAVI KUONGEZA KASI YA KUZUNGUKIA MITAA KUIMARISHA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,limeombwa kupita mara kwa mara katika mitaa ambayo wamekuwa hawapiti mara kadhaa ili kuimarisha usalama na kukomesha udokozi wa mali za raia unaoendelea.

WAWILI WAKAMATWA WAKITUHUMIWA KUIBA MTOTO WILAYANI MPANDA

Na.Vumilia Abel SERIKALI   ya kijiji cha Ikaka kata ya Mnyagala Wilayani Mpanda mkoani katavi kimewakamata watu wawili wanaofahamika kwa majina ya Edefance John na Januari Kisulo wote wakazi wa kijiji cha   Isengule kata ya Ikola   kwa tuhuma za wizi wa mtoto mwenyeumri wa miaka 13.

HALI YA UKAHABA NCHINI TANZANIA

Image
Wasichana wapatao 500 wanaodaiwa kufanya biashara ya ukahaba nchini Tanzania pamoja na wateja wao zaidi ya 200 wanashikiliwa na polisi nchini. Walikamatwa kufuatia msako unaoendelea kukomesha biashara hiyo ambayo haikubaliki kwa mujibu wa sheria nchini humo. Hii ni idadi kubwa kuwahi kukamatwa katika vita dhidi ya biashara ya ukahaba nchini humo.                                                      Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro

WANANCHI KATAVI WAPONGEZA HOTUBA YA RAIS

Image
Na.Issack Gerald-Katavi BAADHI Ya wakazi Mkoani Katavi wamepongeza agizo la   Rais John Pombe Magufuli kwa wakuu wa Mikoa Kuhakikisha Kila mtanzania anafanya Kazi.                                                   Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA WAKITUHUMIWA WIZI WA FEDHA KWA KUTUMIA SIMU

Na.Issack Gerald-Mpanda Watu wawili wakazi wa kijiji cha Ikaka   kata ya Mnyagala wilayani Mpanda mkoani Katavi,wamefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda wakikabiliwa na shtaka la wizi wa fedha kwa njia ya simu   ambayo ni mali ya Charles Lubasha mkazi wa Kakese.

WAKUU WAPYA WA MIKOA WAAPISHWA,HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KITANZI KWAO

Image
Na.Issack Gerald Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametoa siku kumi na tano kwa Wakurugenzi wa halamshauri zote nchini Kufuta Majina ya Wafanyakazi hewa wanaolipwa Mishaha.                                             Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga kuwa mkuu wa mkoa wa Katavi,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.