Posts

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA MIKOA, WAMO 13 WAPYA,Dk.MSENGI WA KATAVI AONDOLEWA ALETWA RAPHAEL MUHUGA,PAUL MAKONDA AULA DAR

Image
Na.Issack Gerald Rais wa Tanzania amewateua wakuu 13 wapya wa mikoa miongoni mwa orodha mpya ya wakuu 26 wa mikoa iliyotangazwa leo na ikulu ya rais.                                                     Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli

JESHI LA ZIMAMOTO WALALAMIKIWA NA WAKAZI KATAVI KWA KUWAPA VITISHO WENYE MFUMO WA UTAPELI

Image
NA.Issack Gerald-Katavi Wafanyabiasha wa soko la Buzogwe wamelalamikia hatua ya kikosi cha zima moto Manispaa ya Mpanda mkoani wa Katavi   kwa kuwatoza kodi ambayo haijulikani inakopelekwa pamoja na kutoelimishwa juu ya michango hiyo. Mwonekano wa gari la zimamoto (PICHA NA Issack Gerald)                               

KUKMBUKUMBU YA MIAKA 32 YA KIFO CHA WAZIRI MKUU MZALENDO HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE

Image
(Na.Issack Gerald-P5 TANZANIA MEDIA) Hayati Sokoine alizaliwa mnamo mwaka 1/8/1938 katika wilaya ya MAASAI LAND ambayo kwa sasa inafahamika kama wilaya ya Monduli iliyopo mkoani Arusha. Waziri Mkuu wa awamu ya 3 na 5 wa Tanzania                  

MGONJWA ALIYEMNASA KIBAO HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA MKOANI KATAVI MUUGUZI ATOROKA HOSPITALINI.

Na.Issack Gerald-Katavi Mgonjwa aliyempiga Bi.Recho Matinya ambaye ni muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi wakati mgonjwa huyo akiwa amelazwa katika Hospitali hiyo,ametoroka kutoka hospitalini hapo.

UJUMBE WA VIONGOZI WA KITAIFA MRADI WA ELIMU JUMUISHI WAWASILI KATAVI KWA ZIARA,WAZUNGUMZA NA KAMATI YA KULEA BALAZA LA WATOTO CHANGAMOTO ZAIBULIWA

NA.Issack Gerald-Mpanda Katavi Kamati ya kulea balaza la watoto wanaoishi katika mazingira magumu yenye mradi ujulikano kama mradi wa elimu Jumuishi Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wamekutana leo na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalumu.

ZIARA ZA WABUNGE WA KATAVI ZASHIKA KASI KATAVI,MBUNGE VITI MAALUMU ACHANGIA SOLA KITUO CHA AFYA MPANDA

Na.Issack Gerald-Mpanda Kituo cha afya cha Mwangaza kinachomilikwa na manispaa ya Mpanda mkoa wa katavi kimekuwa na changamoto mbalimbali   ikiwemo kukosekana kwa vitendea kazi na kupelekea wagonjwa kukosa humuma iliyo bora.

ONA HUU UTUMBUAJI MAJIPU RUKWA,KESHO WAPI?ENDELEA KUFUATILIA P5 TANZANIA MEDIA

Image
Sumbawanga WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewasimamisha kazi maofisa watano wa Idara ya Misitu mkoani Rukwa kwa kushindwa kusimamia vema na kudhibiti uvunaji haramu wa magogo.        Baadhi ya magogo yaliyopelekea utumbuaji majipu kufanyika(PICHA NA.Issack Gerald)