Posts

UJUMBE WA VIONGOZI WA KITAIFA MRADI WA ELIMU JUMUISHI WAWASILI KATAVI KWA ZIARA,WAZUNGUMZA NA KAMATI YA KULEA BALAZA LA WATOTO CHANGAMOTO ZAIBULIWA

NA.Issack Gerald-Mpanda Katavi Kamati ya kulea balaza la watoto wanaoishi katika mazingira magumu yenye mradi ujulikano kama mradi wa elimu Jumuishi Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wamekutana leo na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalumu.

ZIARA ZA WABUNGE WA KATAVI ZASHIKA KASI KATAVI,MBUNGE VITI MAALUMU ACHANGIA SOLA KITUO CHA AFYA MPANDA

Na.Issack Gerald-Mpanda Kituo cha afya cha Mwangaza kinachomilikwa na manispaa ya Mpanda mkoa wa katavi kimekuwa na changamoto mbalimbali   ikiwemo kukosekana kwa vitendea kazi na kupelekea wagonjwa kukosa humuma iliyo bora.

ONA HUU UTUMBUAJI MAJIPU RUKWA,KESHO WAPI?ENDELEA KUFUATILIA P5 TANZANIA MEDIA

Image
Sumbawanga WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewasimamisha kazi maofisa watano wa Idara ya Misitu mkoani Rukwa kwa kushindwa kusimamia vema na kudhibiti uvunaji haramu wa magogo.        Baadhi ya magogo yaliyopelekea utumbuaji majipu kufanyika(PICHA NA.Issack Gerald)                                                                

WAGONJWA WAANZA KUTEMBEZA KICHAPO KWA WAUGUZI HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA

Na,Meshack Ngumba-Mpanda KUFUATIA tukio la jana la Muuguzi   Katika hospitali ya Wilaya ya Mpanda Kupigwa na Mgonjwa aliyekuwa akimuhudumia, Serikali imeshauriwa Kuimarisha Usalama wa watumishi Katika maeneo yao ya Kazi.

WANAWAKE WILAYANI MPANDA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUFANYA USAFI HOSIPTALINI

Na.Issack Gerald-Mpanda WANAWAKE Mkoani Katavi,wameungana na wanawake wengine duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani.

WANNE WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO KATAVI

Na.Issack Gerald-Mlele Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za kukutwa na vipande vitatu vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilogramu 11 vyenye thamani ya shilingi milioni 32,530,650 /=ambayo ni sawa na tembo 01 aliyeuawa.

WANAWAKE KATAVI WASHAURIWA KUUNDA VIKUNDI ILI KUPATIWA MISAADA

Na.Meshack Ngumba-Katavi Wanawake Mkoani Katavi wameshauriwa Kujiunga na Vikundi ili kupata fursa ya Kupewa   misaada itakayowasaidia Kujikwamua Kimaisha kwa kuanzisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo.