Posts

WANAWAKE WILAYANI MPANDA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUFANYA USAFI HOSIPTALINI

Na.Issack Gerald-Mpanda WANAWAKE Mkoani Katavi,wameungana na wanawake wengine duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani.

WANNE WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO KATAVI

Na.Issack Gerald-Mlele Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za kukutwa na vipande vitatu vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilogramu 11 vyenye thamani ya shilingi milioni 32,530,650 /=ambayo ni sawa na tembo 01 aliyeuawa.

WANAWAKE KATAVI WASHAURIWA KUUNDA VIKUNDI ILI KUPATIWA MISAADA

Na.Meshack Ngumba-Katavi Wanawake Mkoani Katavi wameshauriwa Kujiunga na Vikundi ili kupata fursa ya Kupewa   misaada itakayowasaidia Kujikwamua Kimaisha kwa kuanzisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo.

MBARONI KWA KUKAMATWA NA MENO YA TEMBO KATAVI

Image
Na.Issack Gerald-Mlele Jeshi la Polisi Wilayani Mlele Mkoani Katavi linamshikilia Bw. Robert Nyakie(40) mkazi wa kijiji na Kata ya kanoge barabara ya tatu kwa tuhuma ya kukutwa na meno ya tembo kinyume na sheria.                                         ACP Rashid Mohamed,Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavi (PICHA NA.Issack Gerald)                                               Vipande vya meno ya tembo vikiwa Mezani(PICHA NA.Issack Gerald) Mtuhumiwa Bw.Robert Nyakie akiwa chini ya ulinzi (PICHA NA.Issack Gerald Machi 04)

MKOA WA KATAVI WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI.

Na.Issack Gerald-Katavi MKOA wa Katavi umeshauriwa kumaliza migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji na katika maeneo ya makazi na hifadhi. Ushauri huo umetolewa jana na Waziri mkuu mstaafu Mh, Mizengo Pinda katika kikao cha Kamati ya ushauri ya mkoa kilichofanyika katika ukumbi wa idara ya maji mjini Mpanda.

MKUU WA WILAYA YA MPANDA AINGILIA KATI MGOGORO WA TENDA YA WAJASILIAMALI KUHUSU UTENGENEZAJI WA MADAWATI.

Na.Issack Gerald-Katavi Umoja wa wajasiliamali Pasifiki waliopo mtaa wa majengo kata ya Kashaulili   umeilalamikia Manispaa ya Mpanda kwa kutoa tenda kwa mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Sailoni Mwagama ambaye ni mjasiliamali wa eneo hilo tofauti na ilivyokuwa awali kuwa wajasiliamali hao wangepata tenda hiyo kwa pamoja kama ilivyokuwa imetangazwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bw.Pazza Mwamlima.

SERIKALI YA MKOA WA KATAVI YAKATAA WAKANDARASI WASIOFUATA MASHARTI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi SERIKALI Mkoni Katavi imesema haitakubali Kuingia Mikataba ya Ujenzi wa Miradi mbalimbali ikiwemo   barabara   na wakandarasi   wanaoshindwa Kufuata Masharti   ya Utekelezaji wa Miradi hiyo.