Posts

MRATIBU ELIMU KATA WILAYANI MPANDA AUA SABABU WIVU WA MAPENZI ASHIKILIWA NA POLISI KATAVI.

Na.Issack Gerald-Mpanda Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Gidison Visent(32), mkazi wa Katuma aliuawa kwa kuchomwa na kisu kifuani na Mohamed Muna (59) mratibu elimu Kata mkazi wa Katuma.

ZAIDI YA WALIMU 3 WAFUNDISHA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU KATIKA UBAO MMOJA,DARASA MOJA WAKATI MMOJA MANISPAA YA MPANDA

Na.Issack Gerald-Mpanda ZAIDI ya walimu watatu wamekuwa wakifundisha wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya msingi Azimio katika darasa moja na ubao mmoja kwa darasa la kwanza hadi la saba kwa miaka saba sasa.

JAMII KATAVI YATAKIWA KUTAMBUA HAKI YA ELIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

Na.Issack Gerald-Mpanda JAMII wilayani Mpanda Mkoani Katavi   imetakiwa kutambua haki ya elimu kwa watoto wenye ulemavu kwa kuwaandikisha katika shule zinazotoa elimu maalumu kwa watoto walemavu.

HAKIMU MAHAKAMAYA WILAYA YA MPANDA ATOA NENO KWA WANAKATAVI KUHUSU SIKU YA SHERIA FEBRUARI 4,2016.

Na.Issack Gerald-Mpanda WAKAZI wa Mkoa wa Katavi wameaswa kuyatumia vizuri maadhimisho ya siku ya sheria nchini, kupata elimu inayotolewa na wadau wa sheria ili kuelewa haki na wajibu wa raia.

KESI YA KUVUNJA DUKA YAENDELEA KULINDIMA MPANDA,HAKIMU ATUPILIA MBALI OMBI LA MSHTAKIWA

Na.Issack Gerald-Mpanda KESI ya kuvunja duka na kuiba nguo zenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nne na elfu arobaini, inayomkabili Bw. Reuben Remmy mkazi wa Makanyagio,mwishoni mwa wiki ya Januari,imeendelea kusikilizwa katika mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda.

AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA TUHUMA ZA UHARIBIFU WA MALI,YUMO PIA ALIYETISHIA KUUWA KWA MANENO

Na.Boniface Mpagape-Mpanda MTU mmoja mkazi wa Kapalangeo-kazima katika manispaa ya Mpanda Bw. Joseph Saleh kajunja amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kuharibu mali.

ASKARI POLISI KATAVI APIGWA RISASI YA TUMBONI AFA PAPOHAPO ENEO LA TUKIO- P5 TANZANIA INAKULETEA UNDANI ZAIDI

Na.Issack Gerald-Mpanda Askari wa jeshi la polisi Mkoani Katavi H305PC Nobert Stanslaus Chacha amekufa baada ya kupigwa risasi maeneo ya Kapanda juu kata ya Machimboni Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda.