Posts

UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI KUTOKA MPANDA HADI SUMBAWANGA KUKAMILIKA 2016

Image
Na. Issack Gerald -Dodoma SERIKALI imesema ujenzi wa barabara ya Mpanda hadi Sumbawanga kwa kiwango cha lami unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2016.                                                       Bungeni Dodoma                                                       Jengo linalotumika katika vikao vya bunge Mjini Dodoma

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPATA KIPIGO KIKALI-P5 TANZANIA MEDIA INAKUSOGEZEA HIYO

Na.Issack Gerald-Mlele Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Ally (20), mkazi wa Kalovya Inyonga,amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya Inyonga kufuatia kipigo kikali alichokipata toka kwa Ntemwa Kabembenya(26) mkazi wa Ipwaga.

MKUU WA MKOA WA KATAVI ATAKA KILA MKAZI KUWA MLINZI WA MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA

Na.Issack Gerald-Mpanda Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Ibrahim Msengi,amemtaka kila wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwa mlinzi wa mazingira yanayomzunguka.

MAMA AMUUA MTOTO WAKE AMFUNGA KAMBA SHINGONI AMTUNDIKA JUU YA MWEMBE MPANDA.

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linamshikilia Sado Roket (26) mkazi wa Mnyakasi kwa kumuua mtoto wake Nchambi Tungu (11) mkazi wa Mnyakasi   kwa kumpiga kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA,MMOJA KUTISHIA KUUWA KWA MANENO MWINGINE KUUZA KIWANJA KWA ZAIDI YA MTU MMOJA

Na.Issack Gerald-Mpanda MTU mmoja amefikishwa katika mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda jana, akikabiliwa na shtaka la kuuza kiwanja kwa gharama ya shilingi laki sita na baadaye kukiuza kwa mtu mwingine.

WANAWAKE WAISHI KWA MIGOGORO KATIKA NDOA KISA UCHAGUZI OKTOBA 25,2015

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda BAADHI ya wanawake Mkoani Katavi wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kuelimisha   jamii kwa chaguzi zijazo ili kukomesha tabia ya ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya wanaume kwa kuwachagulia vyama vya siasa wake zao.                                                          Baadhi ya wanawake ambao wamezungumza na P5 TANZANIA (Picha na Issack Gerald)

MATUKIO YA WIKI MKOANI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA KUANZIA JANUARI 18-23,2016.

Tuesday, 19 January 2016 WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA MAKOSA MBALIMBALI LIKIWEMO SHAMBULIO LA MWILI. Posted By: Issack Gerald | At: Tuesday, January 19, 2016 Na.Issack Gerald-MPANDA VIJANA watatu wakazi wa Mpanda mjini jana wamefikishwa katika mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda, wakikabiliwa na shtaka la shambulio la kudhuru mwili.