Posts

WAKAZI KATAVI WATAKIWA KUWA MAKINI NA MVUA KUEPUKA MAFURIKO PIA IDARA ZA MAAFA KATIKA HALMSHAURI ZOTE ZAAGIZWA KUJIPANGA KIKAMILIFU

Na.Boniface Mpagape-Mpanda MKUU wa Mkoa wa katavi Dk. Ibrahim Msengi amewataka wakazi wa mkoa huo,kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kuwepo kwa mafuriko kama ilivyotabiriwa na wataalam wa hali ya hewa.

AMPA UJAUZITO DADA YAKE WA MIAKA 14 SUMBAWANGA POLISI WAMDAKA,IDARA YA ELIMU NAKO KALAMBO HARAKATI KWA KWENDA MBELE

Na.Issack Gerald-Sumbawanga POLISI wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa inamshikilia mkazi wa kijiji cha Ulinji, Manispaa ya Sumbawanga mwenye umri wa miaka 28 kwa tuhuma za kumpa ujauzito dada yake mwenye umri wa miaka 14 anayesoma darasa la saba.

WANAOGOMBANIA ARDHI NSIMBO WATAKIWA KUTOKA,ELIMU BURE BADO KUELEWEKA IPASAVYO KWA WANANCHI MKUU WA WILAYA YA MLELE ATOA NENO

Na.Agness Mnubi-Nsimbo. WADAU wa Elimu katika halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi wametakiwa kuelimisha wazazi na walezi juu ya Mfumo wa elimu bure.

RADI YAUA WAWILI YAJERUHI WATATU KATAVI

Na.Issack Gerald-Katavi Watu wawili waliofahamika kwa majina ya Kupiwa Julius (28) na Lemmy Madirisha wote wakazi wa Mkazi wa Ilebura wamepigwa na radi na kufariki dunia papo hapo.

WATATU KATA YA MPANDA NDOGO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA WAKITUHUMIWA KUJIPATIA SHILINGI MIL.3,400,000/= KWA NJIA YA UDANGANYIFU

Na.Issack Gerald-Mpanda WATU wawili wakazi wa kata ya Mpanda ndogo wilayani Mpanda mkoani Katavi, jana wamefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda wakikabiliwa na shtaka la kujipatia fedha shilingi milioni tatu na laki nne kwa njia ya udanganyifu.

WAZIRI MKUU AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUFUNGUA VIWANDA VYA NGOZI DAR, GEITA NA SHINYANGA

Image
Issack Gerald-DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema,Serikali imepanga kufungua viwanda vya kusindika ngozi kwenye mikoa ya Shinyanga, Geita na Dar es Salaam ili kutoa soko kwa ngozi za wanyama wanaochinjwa kwenye machinjio ya mikoa hiyo.                                              Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. Waziri

AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA TUHUMA ZA KUDHURU MWILI

Na.Boniface Mpagape-Mpanda MTU mmoja mmoja mkazi wa Kasokola wilayani Mpanda Bw. Godfrey Kipyela, jana amefikishwa katika mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kudhuru mwili.