Posts

HALMASHAURI ZA WILAYA KATAVI ZATAKIWA KUTATU CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU YA ELIMU KUFANIKISHA BRN

Na.Issack Gerald-MPANDA HALMASHAURI zote zilizomo ndani ya mkoa wa katavi zimetakiwa kufanya jitihada za kutatua   changamoto za miundombinu ya elimu ili kuhakikisha wanafunzi wote wanasoma vizuri.

MATUKIO YA WIKI KATAVI NA KWINGINEKO KUANZIA JANUARI 11 – 16,2016 NA P5 TANZANIA MEDIA

ASHIKILIWA NA POLISI KATAVI KWA KUKAMATWA NA MENO   YA TEMBO KILOGRAM 50 YENYE THAMANI YA SHILINGI MIL.120. Posted By: Issack Gerald | At: Tuesday, January 12, 2016 Na.Issack Gerald-Katavi Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Nzuri Ndizu (44) mkazi wa kijiji cha mbede anashikiliwa   na Jeshi la Polisi akiwa na meno 08 ya tembo vyenye uzito wa kg 50 ikiwa na thamani ya Tshs 120,000,000/= ambapo ni sawa na tembo 4 waliouawa kinume cha sheria.

MWANAFUNZI DARASA LA KWANZA MWANZA AFA MAJI AKIWA NA BABAYE,ASKARI WA UOKOAJI WAKOSA MWILI

Na.Albert Kavano-Mwanza MWANAFUNZI wa Darasa la Kwanza   katika shule ya Msingi Mabatini B Jijijni Mwanza Amefariki dunia baada ya kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha jana kwa zaidi ya saa 6,   jijini humo.

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SHAMBULIO LA MME WAKE

Na.Issack Gerald-Mpanda MTU mmoja mkazi wa Kawajense katika Manispaa ya Mpanda, Bi. Judith Mgawe, juzi amefikishwa katika mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la shambulio la kudhuru mwili dhidi ya mmewe.

MANISPAA YA MPANDA WANG’ANGA’NIA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA IWE YAO,KAKESE YAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Na.Issack Gerald-Mpanda Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imesema kuwa mchakato wa kuhamisha Hospitali ya Wilaya ya Mpanda kutoka katika utawala wa Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda kuwekwa katika utawala wa Manispaa unaendelea.

WAZIRI WA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI ZIARANI MLELE,ATOA RAI KWA WATUMISHI WA UMMA,AZUNGUMZA NA WAKULIMA WA TUMBAKU

Na.Issack Gerald-Mlele Waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi Mheshimiwa Willium Tate Nashe,amewataka watumishi wa umma Wilayani Mlele Mkoani Katavi kufanya kazi kwa uadilifu,uaminifu sambamba na kuwa karibu na wananchi kwa ajili ya kutatua changamoto zinazowakabili wananchi hao.

BALAZA LA MADIWANI MPANDA LAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI,WAPOKEA TAARIFA NA KUJADILI CHANGAMOTO ZA WANANCHI.

Na.Issack Gerald-MPANDA Balaza la madiwani Manispaa ya Mpanda limetoa kauli ya pamoja kuunga mkono Juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dk.John Pombe Magufuli.