Posts

MANISPAA YA MPANDA WANG’ANGA’NIA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA IWE YAO,KAKESE YAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Na.Issack Gerald-Mpanda Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imesema kuwa mchakato wa kuhamisha Hospitali ya Wilaya ya Mpanda kutoka katika utawala wa Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda kuwekwa katika utawala wa Manispaa unaendelea.

WAZIRI WA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI ZIARANI MLELE,ATOA RAI KWA WATUMISHI WA UMMA,AZUNGUMZA NA WAKULIMA WA TUMBAKU

Na.Issack Gerald-Mlele Waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi Mheshimiwa Willium Tate Nashe,amewataka watumishi wa umma Wilayani Mlele Mkoani Katavi kufanya kazi kwa uadilifu,uaminifu sambamba na kuwa karibu na wananchi kwa ajili ya kutatua changamoto zinazowakabili wananchi hao.

BALAZA LA MADIWANI MPANDA LAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI,WAPOKEA TAARIFA NA KUJADILI CHANGAMOTO ZA WANANCHI.

Na.Issack Gerald-MPANDA Balaza la madiwani Manispaa ya Mpanda limetoa kauli ya pamoja kuunga mkono Juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dk.John Pombe Magufuli.

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASEMA TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA RWANDA

Na.Issack Gerald WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini, Eugene Kayihura. Ambapo amemuahidi kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Rwanda.

WAWILI MANISPAA YA MAPANDA WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA WAKITHUMIWA KUIBA NAKUPORA MALI ZENYET THAMANI KARIBU MIL.2.

Na.Boniface Mpagape-MPANDA MKAZI wa Makanyagio katika Manispaa ya Mpanda, Bw. Reuben Remi amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kuvunja duka na kuiba nguo zenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nne na elfu arobaini.

MABALAZA YA MADIWANI MPANDA KUANZA VIKAO VYAKE LEO

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Balaza la madiwani Manispaa ya Mpanda leo linatarajia kuanza vikao vyake kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wananchi.                                              Moja ya mambo yanayoifanya Mpanda kupewa Manispaa ya Mpanda

BABA NA MAMA WA KAMBO WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA MANYANYASO NA KUMNYIMA CHAKULA MTOTO WAO

Na.Issack Gerald-KATAVI Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Charles (40) Mkazi wa Kasimba anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Katavi kwa kosa la kumnyanyasa mtoto wake anayeitwa Adam Ramadhani (17) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari Kashaulili sambamba na kumnyima mambo mengine ya msingi kama chakula.