Posts

MRAJISI VYAMA VYA MSINGI TANZANIA APEWA SIKU 14 KUUNDA TIMU YA UKAGUZI MALALAMIKO YA WAKULIMA WA TUMBAKU MPANDA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda,Katavi Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh. William Tate Ole Nasha,amemwagiza Mrajishi wa vyama vya ushirika Tanzania,kuhakikisha anaunda timu ya ukaguzi ndani ya Siku 14 ili kuchunguza malalamiko ya wakulima wa zao la tumbaku katika chama cha msingi cha ushirika cha Mpanda Kati kilichopo Wilayani Mpanda.                                                   Wa-tatu kutoka kushoto aliyeshika kifuani mwake ni Naibu waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa Wilaya ya Mpanda Muda mfupi kabla ya kuanza kikao na wakulima Chama cha Msingi Mpanda Katati,aliyevaa kaunda suti ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Pazza Mwamlima na wengine katika picha ni wakuu wa idara Wilayani Mpanda                                     ...

CUBA YAENDELEA KUSAIDIA TANZANIA KUPAMBANA NA MALARIA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini, Bwana Jorge Luis Lopez Tormo ambaye ameahidi kuendelea kusaidia Tanzania katika mapambano dhidi ya malaria.                                                                           Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo,  ofisini kwake jijini Dar es slaam Januari 11, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

HALI YA USALAMA BURUNDI HUENDA IKACHUKUA SURA MPYA

Image
Na. Issack Gerald-Katavi Hali ya kisiasa nchini Burundi huenda ikachukua sura mpya baada ya serikali na upinzani kutoafikiana juu ya yatakayozungumzwa kwenye mkutano ili kutatua mzozo nchini humo.                                                      Jaji Augustine Mahiga Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimatifa akiwa ni miongoni mwa viongozi wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki wanaoshuruhisha mgogoro wa kisiasa nchini Burundi

SERIKALI YATOA MILIONI 999,376,000/= KUGHARIMIA ELIMU BURE MKOANI MWANZA

Na.Issack Gerald-Mwanza. Serikali   ya awamu   ya Tano chini ya Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Josefu Magufuri Imetoa kiasi cha shilingi milioni 999,376,000 kwa ajiri ya kughalimia elimu kwa shule za msingi na Sekondari   kwa mwezi januari.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA NAMIBIA,AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND NCHINI.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekuatana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Namibia ambaye anamaliza muda wake, Bwana Japhet Isaack.                                                                            Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na balozi Namibia nchini, Mhe. Japhet Isaack ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016

MATUKIO YA WIKI KUANZIA JUMATATU JANUARI 04— IJUMAA JANUARI 09,2015 MKOANI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA

NA.ISSACK GERALD BATHROMEO WAWILI MPANDA WAUAWA,WAUAJI WATOKOMEA KUSIKOJULIKANA NAO POLISI WASEMA HAPA KAZI TU Posted By: Issack Gerald | At: Monday, January 04, 2016 Na.Issack Gerald-MPANDA Watu wawili wamekutwa wakiwa wameuawa na watu wasiojulikana Wilayani Mpanda Mkoani Katavi baada ya kukatwa na vitu vyenye ncha kali Januari Mosi Mwaka huu.

TUME YA ARDHI MPANDA YATOA TAARIFA YA UCHUNGUZI MIGOGORO YA ARDHI KWA BAADHI YA VIJIJI

Na.Issack Gerald-Mpanda TUME ya uchunguzi wa migogoro ya ardhi imetoa taarifa baada ya kufanya uchunguzi katika vijiji vya Ikaka, Nkungu na Kapalamsenga wilayani Mpanda.