Posts

AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA TUHUMA ZA UHARIBIFU WA MALI NA KUTELEKEZA FAMILIA.

Na.Issack Gerald-MPANDA Mtu mmoja mkazi wa mtaa wa Kasimba manispaa ya Mpanda jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kuharibu mali na kutelekeza familia.

BREAKING NEWS: DAR ES SALAAM JENGO LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI TANZANIA LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

Image
Na.Issack Gerald-Dar es Salaam Jengo la Wizara ya mambo ya ndani makao makuu ya jeshi la Polisi,limenusulika kuteketea kwa moto na kusababisha kazi za jeshi hilo kusimama kwa muda,kutokana na wafanyakazi na viongozi wa jeshi hilo kutoka nje ya jengo kufuatia ya tahadhari ya moto kutolewa.                                                Msemaji wa jeshi la Polisi Tanzania Advera Bulimba

WAZIRI MKUU ASEMA SERIKALI HAIJARIDHIA VIWANGO VIPYA VYA NAULI YA MABASI YAENDAYO KASI

Image
Na.Issack Gerald-Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijaridhia viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam (UDART).                                                                                                                                                      

UELEWA MDOGO WA WATU WAISHIO NA VIRUSI VYA UKIMWI,BADO CHANGAMOTO KUUDHIBITI UGONJWA WA UKIMWI

Na.Issack Gerald-Mwanza Muuguzi wa Kituo kinacho toa huduma kwa watu wanaoishi na maambukizi ya Virus Vya UKIMWI na Yatima Shalom Care House Jijini Mwanza   Bi Edna Evarist amesema uelewa mdogo   wa watu wanaoishi Na VVU ni changamoto katika kudhibiti UKIMWI nchini.

WAWILI AKIWEMO ASKARI WA JESHI LA POLISI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MWANZA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Image
Na.Issack Gerald-Mwanza Watu wawili   akiwemo askari wa Jeshi la Polisi wanashikliwa   na jehi la polisi kwa makosa ya mauaji katika maeneo tofauti Mkoani Mwanza.                                                          Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza Justus Kamgisha

WATATU WAUAWA WILYANI MLELE KATIKA MATUKIO MAWILI TOFAUTI,LIMO LA BABA NA MWANAWE KULIWA NYAMA NA SIMBA

Image
Na.Issack Gerald-Mlele Katavi Watu watatu wamekufa katika matukio mawili tofauti Wilayani Mlele Mkoani Katavi likiwemo tukio la baba na mwanae kuliwa na samba jike mzee.                                           Baadhi ya Simba katika Hifadhi ya taifa ya wanayama ya Katavi

VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU MKOANI RUVUMA WASIMAMISHWA KAZI NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Image
Na.Issack Gerald-Ruvuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.                                                                          Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu)                                                                           ...