Posts

JELA SIKU 14,KWA KUMCHANACHANA KWA NYEMBE MTOTO WAKE WA MIAKA 6

Na.Issack Gerald-MPANDA Mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda imemhukumu Bi. Agnes George (30) mkazi wa Kawajense mjini Mpanda kwenda jela kwa siku kumi na nne,   baada ya kupatikana na hatia ya kumkatakata kwa nyembe nyuma ya viganja mtoto wake mwenye umri wa miaka sita, akimtuhumu kuiba fedha.

MLELE NAKO MAUJI KAMA MPANDA,MMOJA AUAWA,WAUAJI WATOKOMEA POLISI MSHIKEMSHIKE KUWASAKA WAUAJI

Na.Issack Mlele-Katavi Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Chalya Kichosha(60) mkazi wa mkazi wa kijiji cha Ibindi alikutwa akiwa ameuawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na shingoni .

WAWILI MPANDA WAUAWA,WAUAJI WATOKOMEA KUSIKOJULIKANA NAO POLISI WASEMA HAPA KAZI TU

Na.Issack Gerald-MPANDA Watu wawili wamekutwa wakiwa wameuawa na watu wasiojulikana Wilayani Mpanda Mkoani Katavi baada ya kukatwa na vitu vyenye ncha kali Januari Mosi Mwaka huu.

WAZIRI MKUU AELEZA AFURAHISHWA NA HALI YA CHAKULA MKOANI RUVUMA

Image
Na.Issack Gerald. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini.                                                     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary   (kushoto kwake )  wakielekea kwenye Chumba cha mapumziko baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea na kupokelewa na wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3, 2016.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na kushoto ni Mbunge wa Songea Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

BREAKING NEWS : WAZIRI MKUU LEO KUANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOANI RUVUMA

Image
NA:OFISI YA WAZIRI MKUU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa   anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma, ambapo atawasili mkoani  hapo  leo saa tisa alasiri.                                                                          Waziri Mkuu wa TANZANIA Kassim Majaliwa (PICHA na Ofisi ya Waziri Mkuu)

RIPOTI YA KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA NYARA ZA SERIKALI KATAVI HII HAPA KUANZIA DESEMBA 24,2014--DESEMBA 30,2015

Image
Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la Polisi mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), wamefanikisha kukamata watu 11 wanaohutumiwa kumiliki nyara za serikali, yakiwemo meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 532.5 kati ya Desemba 24, 2014 na Desemba 30 mwaka 2015.                                                                Kamanda wa polisi Mkoani Katavi Dhahiri Kidavashari (PICHA na Issack Gerald)

MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU WAAPISHWA,WAZIRI MKUU AWAPONGEZA

Image
Na.Ofisi ya waziri Mkuu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu leo jijini Dar es Salaam.                                                     Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakuu baada ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016                                                       Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria,Amon Mpanju akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tan...