Posts

KAMANDA WA POLISI MWANZA ATOA TAARIFA YA ASKARI KUMUUA KWA RISASI ASKARI MWENZAKE

NA.Mwandisi wetu-MWANZA Askari mmoja  wa jeshi la Polisi mkoani Mwanza  jana amefyatua risasi na kumuua asikari mwenzake kisha nayeye kujipiga risasi na kufariki dunia katika lindo la benki ya posita jijini mwanza huku chanzo cha tukio hilo kikiwa hakija julikana.

AKIMBIA MKONO WA POLISI KUKWEPA KUKAMATWA KWA KOSA LA KUMILIKI SILAHA KINYUME NA SHERIA

Na.Issack Gerald-Mpanda Jeshi la polisi Mkoani Katavi linamtafuta mtu mmoja aliyekimbia akikwepa kukamatwa na polisi kutokana na kumiliki silaha aina ya gobore  kinyume na sheria.

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI AKICHIMBA DHAHABU NSIMBO KATAVI

Na.Issack Gerald-Mpanda Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Mateo Robert(33) mchimbaji mdogo mkazi wa Mbeya-Songwe,amefariki dunia baada ya kuangukiwa na lundo la udongo akiwa kwenye shimo (LONG BASE) wakati akichimba madini ya dhahabu.

BODABODA MPANDA WAZUNGUMZIA MIUNDOMBINU MIBOVU YA BARABARA INAVYOATHIRI UCHUMI WAO

Na.Issack Gerald-MPANDA Miundombinu mibovu ya barabara hususani kipindi hiki cha masika imeathiri uchumi wa waendesha pikipiki katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Matavi.

WAKUU WA MIKOA,WILAYA NA WAKURUGENZI HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUDHIBITI MIGOGORO YA ARDHI

Image
Na. OFISI YA WAZIRI MKUU,   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya  ardhi kwenye maeneo yao husika.                                                                  Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majliwa akisalimia na waakazi Jimboni Kwake Ruangwa

BREAKING NEWS : KAIMU MKURUGENZI WA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD ASIMAMISHWA KAZI

Image
Na.Ofisi ya Waziri-DAR ES SALAAM. Kaimu mkurugenzi wa taasisi ya saratani ya Ocean Road Dk.Diwani Msemo amesimamishwa kazi.                                                        Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu

MKURUGENZI MKUU RAHCO ASIMAMISHWA KAZI

Image
Na.OFISI YA MAWASILIANO YA IKULU. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (RAHCO), Benhadard Tito.                                                 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli