Posts

WAKUU WA MIKOA,WILAYA NA WAKURUGENZI HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUDHIBITI MIGOGORO YA ARDHI

Image
Na. OFISI YA WAZIRI MKUU,   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya  ardhi kwenye maeneo yao husika.                                                                  Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majliwa akisalimia na waakazi Jimboni Kwake Ruangwa

BREAKING NEWS : KAIMU MKURUGENZI WA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD ASIMAMISHWA KAZI

Image
Na.Ofisi ya Waziri-DAR ES SALAAM. Kaimu mkurugenzi wa taasisi ya saratani ya Ocean Road Dk.Diwani Msemo amesimamishwa kazi.                                                        Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu

MKURUGENZI MKUU RAHCO ASIMAMISHWA KAZI

Image
Na.OFISI YA MAWASILIANO YA IKULU. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (RAHCO), Benhadard Tito.                                                 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli

MKURUGENZI HALMSHAURI YA WILAYA YA KALAMBO,ASIKITISHWA NA HALI YA ELIMU MKOANI RUKWA

Na.Issack Gerald-SUMBAWANGA MKURUGENZI   Mtendaji wa   Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Bw. Bensoni Kilagi,amesema hajaridhishwa na matokeo ya darasa la nne na darasa la saba kwa mwaka 2015 mkoani humo.

MEYA MANISPAA YA MPANDA AOMBA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA KUHARAKISHWA KUWA MALI YA MANISPAA

Image
Na.Meshack Ngumba-MPANDA SERIKALI imeombwa Kuharakisha Mchakato wa Kuibadilisha hospitali ya Wilaya Kuwa hospitali ya halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ili Kusogeza huduma za afya kwa wakazi wa Manispaa hiyo.                                                           Baadhi ya majengo Hospitali ya Wilaya Mpanda

WAZIRI MKUU ASEMA HANA KINYONGO NA MTU YEYOTE,ASEMA ITIKADI ZA SIASA ZILIISHIA OKTOBA 25

Image
Na.OFISI YA WAZIRI MKUU. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa mbunge wa jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba 25, mwaka huu.                                        Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akizungumza na Wakazi Mkoani Lindi

BUNGE NCHINI BURUNDI NA BALAZA LA SENATE NCHINI HUMO WAKUTANA KUJADILI HALI YA USALAMA BURUNDI

Na. Prosper Kwigize Bujumbura, Burundi Bunge la Jamhuri ya Burundi kwa pamoja na Baraza la SENATE leo wamekutana pamoja jijini Bujumbura kujadili hali ya usalama.